Posts
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 23 OKTOBA 2014,JAMBO LEO,NIPASHE, MTANZANIA NA UHURU.
- Get link
- X
- Other Apps
MAMBO Tanzania Tanzania BOMBA . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA MAJESHI NCHINI CANADA
- Get link
- X
- Other Apps
Stephen Harper Mwanajeshi mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa nje na ndani ya Bunge la Canada mjini Ottawa katika tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi,ambapo mji huo mkuu upo chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wanajeshi. Kufuatia tukio hilo waziri mkuu wa nchi hiyo Stephen Harper amehutubia Taifa hilo na kutaka wananchi watulie huku akisisitiza kuwa Canada haitowaachia magaidi watambe. Shambulio limekuja saa kadhaa baada ya Canada kukemea vikali vitendo vya kigaidi.siku ya jumatatu. Vyombo vya usalama nchini humo vimethibitisha kuwa mshambuliaji mmoja ameuawa na ametambuliwa kwa jina la Michael Zehaf-Bibeau. Kufuatia tukio hilo waziri mkuu wa nchi hiyo Stephen Harper amehutubia Taifa hilo na kutaka wananchi watulie huku akisisitiza kuwa Canada haitowaachia magaidi watambe. Shambulio limekuja saa kadhaa baada ya Canada kukemea vikali vitendo vya kigaidi.siku ya jumatatu mw...