Posts

DIAMOND NA WEMA NANI HANA KIZAZI, ZARI NA IDRIS WA BIG BROTHER WANA MAJIBU.

Image
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2015 Idris Sulta, athibitisha kumpa ujauzito mlimbwende amabaye hakauki vinywani mwa watu kutokana na umaarufu wake na urembo wake Wema Sepetu, huku akijivunia kuwa na mwanamke huyo maishani mwake. Katika ukurasa wake wa Instagram Idris Sultan ameandika maneno ambayo yanaashiria wazi mlimbwende huyo ambaye pia anafanya vizuri runingani kwa filamu za kibongo, kuwa ni mjamzito na yeye akiwa ndiye baba wa mtoto huyo, huku akisindikiza na ujumbe wa mahaba kwa mwenzi wake huo. “Me and You are not the ordinary. I sleep, eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama "Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” aliandika Idris kwenye ukurasa wa...

BEYONCE NA RIHANA; ..ULISHA WAHI KUSIKIA KUHUSIANA NA UGOMVI WA RIHANA NA BEYONCE FUATILIA STORI HII.

Image
Rihanna and Beyonce were not fighting at the press conference for Tidal nor do they hate each other, despite a new report. Gossip Cop can exclusively correct the claims. In fact, a source on the scene tells us the two were joking with each other a few times. Oh, there’s more. According to MediaTakeOut , “The two music QUEENS downright HATE EACH OTHER.” The unreliable webloid even states that “Rihanna REFUSED to stand next to Beyonce” at the Tidal launch on Monday That’s funny because Gossip Cop has obtained a photo of the two standing right next to each other, with their arms around one another (see right). Whoops! Not satisfied with wrongly claiming Rihanna and Beyonce were “fighting,” and that the “Umbrella” singer refused to stand next to Beyonce, the webloid further dug a hole for itself by alleging that at the press conference, “Beyonce and Rihanna did NOT SAY A WORD to each ot...

TEKNO NEW SONG DURO FREE DOWNLOAD

Image

SERIKALI YA MAGUFULI JUU YA KULISHWA SUMU MKUU WA JESHI LA WANANCHI JWTZ.

Image
Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Tanzania (DIT), Benedict Ngonyani, anayetuhumiwa kusambaza taarifa katika mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jenerali, Davis Mwamunyange, amelishwa sumu, umewasilisha mahakamani kusudio la kukata rufaa kupinga mshtakiwa huyo kupewa dhamana. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, iliyoketi chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage, ilitengua hati ya kuzuia dhamana dhidi ya mshtakiwa huyo iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP).     Kabla ya uamuzi huo, hakimu alisikiliza hoja za mawakili wa pande zote mbili na alikubaliana na maombi ya utetezi ya kumpa dhamana kwa kuwa sababu za DPP kuzuia dhamana hiyo hazikuwa na msingi wa kisheria.  Wakili wa Serikali Mkuu, Theophil Mutakyawa aliwasilisha kusudio hilo jana saa 7:00 mchana, kwamba upande wa Jamhuri haujaridhika n...

LOWASSA JE SLAA YUPO NAWE.

Image
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa. Na Waandishi Wetu N I kweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi.  Edward Lowassa na alipochukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, aliyeomba hifadhi ya jina lake, ameliambia gazeti hili kuwa, madai yanayotolewa na watu mitaani na katika mitandao ya kijamii yakisema Dk. Slaa amekasirishwa na kitendo hicho ni ya uongo. ALIANZA DK. SLAA, MBOWE MH! Mjumbe huyo alisema kuwa, Dk. Slaa ndiye mtu wa kwanza ndani ya Chadema kutoa wazo na hatimaye kushiriki kikamilifu katika vikao vya kumwezesha...

Poacher shot dead after his gang killed an elephant in KENYA

Image
NAIROBI, Kenya (AP) — Wildlife rangers killed an armed poacher in a shootout after he and others infiltrated a private ranch and shot dead an elephant, Kenya Wildlife Service said Tuesday. A rifle and bullets were recovered at the scene of the shootout in Choke Ranch in Kenya's south, and the surviving poachers fled before they could cut off the elephant tusks, the service said. Human rights groups have accused wildlife rangers of executing suspects. A report released by the Muslims for Human Rights group last year accused some rangers of executing suspected poachers to cover their involvement with them   Poaching declined last year with 164 elephants and 35 rhinos killed, down from 302 elephants and 59 rhinos killed in 2013. Officials attributed the decline partially to stiffer penalties adopted last year for those involved in the illegal wildlife business. Separately, Chinese national Gao Xudong, 61, was arrested for allegedly trying to smuggle...

Jackie Chan's son released after Beijing marijuana sentence

Image
BEIJING (AP) — The son of actor Jackie Chan was released from a Beijing jail Friday after completing a six-month sentence for allowing people to use marijuana in his apartment, amid a crackdown on illegal narcotics in the Chinese capital. A statement issued by Jaycee Chan's entertainment company said the 32-year-old actor and singer left the city's Dongcheng jail a few minutes after midnight Thursday. Photos showed chaotic scenes as reporters chased his car and surrounded it at a toll station. The statement thanked fans and the media for their concern and said Chan would hold a news conference Saturday in order to "apologize and explain." Police detained Chan, Taiwanese movie star Ko Kai and several other people in August in Chan's Beijing apartment. Chan and Ko tested positive for marijuana, and police seized more than 100 grams (3.5 ounces) of the substance. Ko, whose real name is Ko Chen-tung, was released after serving a 14-day admin...