Mzee kuumizwa, BARNABA adaiwa kulifaidi penzi la beki 3 wa WEMA SEPETU.
Msanii BARNABA adaiwa kulifaidi penzi la beki 3 wa WEMA SEPETU
Posted by Gumzo on July 25, 2014
barnaba
July 25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video yake ya Wahaladee ambayo imetengezwa kwenye ardhi mbili ya Tanzania na Kenya,Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana anayesemekana mpenzi wake kusimamishwa kazi alikokuwa anafanya kazi nyumbani kwa Wema Sepetu.
Comments
Post a Comment