ISRAEL NA HAMAS WASITISHA MAPIGANO.
Mwanajeshi wa Israel
Israel na Hamas yamekubaliana kufuata maombi ya Misri ya kusimamisha mapigano kwa siku tatu huko Gaza, kuanzia leo jumanne asubuhi.
Israel inasema kuwa itakubaliana na mpango huo bila ya masharti yoyote.
Nayo Misri inasema kuwa muafaka huo unafaa kufuatiwa na mazungumzo ya amani yenye nia ya kuboresha kabisa usalama.
Majeshi ya Israeli awali yalirejelea operesheni kali zaidi huko Gaza, baada ya kumalizika kwa makataa ya saa saba ya kukomesha mapigano.
Comments
Post a Comment