DIAMOND NA WEMA NANI HANA KIZAZI, ZARI NA IDRIS WA BIG BROTHER WANA MAJIBU.
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2015 Idris Sulta, athibitisha kumpa ujauzito mlimbwende amabaye hakauki vinywani mwa watu kutokana na umaarufu wake na urembo wake Wema Sepetu, huku akijivunia kuwa na mwanamke huyo maishani mwake. Katika ukurasa wake wa Instagram Idris Sultan ameandika maneno ambayo yanaashiria wazi mlimbwende huyo ambaye pia anafanya vizuri runingani kwa filamu za kibongo, kuwa ni mjamzito na yeye akiwa ndiye baba wa mtoto huyo, huku akisindikiza na ujumbe wa mahaba kwa mwenzi wake huo. “Me and You are not the ordinary. I sleep, eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama "Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” aliandika Idris kwenye ukurasa wa...