Posts
Showing posts from May, 2016
Rais Baraka Obama kuingia katika historia ya Dunia mjini Hiroshima, Japan. h
- Get link
- X
- Other Apps
Shigeaki Mori akilia ,alikuwa na umri wa miaka 8 wakati bomu za nyukilya ilipodondoshwa mini Hiroshima, nchini Japan. Mchoro wa picha ya kumbukumbu ya Hiroshima. Rais wa USA akisujudu katika kaburi la kumbukumbu za mashambulizi ya young boy na fat man bom za nukilya zilizodondoshwa nchini Japan mwaka 1945 wakati wa vita ya pili ya Dunia WWII. Msafara wa Rais wa USA nchini Japan akawa na mwenyeji wake waziri mkuu wa Japan . Kaburi la kumbukumbu mjini Hiroshima. Wakuu wa nchini za USA na Japan katika eneo mail um la kumbukumbu za majonzi ya Hiroshima Rais Obama akiwalaki wahanga wa nukilya mjini Hiroshima. .