Posts
Showing posts from May, 2014
WETANGULA/KIKWETE NYUMA KATIKA NJAMA ZA KUMUUA ODINGA....DAILY NEWS..KENYA
- Get link
- X
- Other Apps
JUMAPILI MAI 11, 2014 - Raisi wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na seneta Bungoma , Moses Wetangula, ni watajwa katika njama za kumpoteza Odinga, chanzo cha habari hii ni The Kenya DAILY POST . kwa kuongezea ni kwamba kutoka katika chanzo kinacho aminika ndani ya chama cha ODM, watengulwa na kikwete, Arusha tarehe 5 waliongelea maswala ya usalama wa kwanda ya mashariki zikiwemo njama hizo za kumpoteza ODINGA. Chanzo hiki kinasema kuwa Wetangula alikuwa na moto sana kuhusu kujulikana kwa tetesi hizi ila kikwete alikuwa akimpooza na kumtaka subira kwa wiki moja .......HABARI ZAIDI!. Read More on The Kenyan Daily Post »
WAKE HUDANGANYA WAUUME ZAO KWA SABABU 10 KUU.
- Get link
- X
- Other Apps
SABABU YA 10; Kutorizinika kitandani. kila siku anasimuliwa na wenzie, vitu ambavyo hukumpe hata punde...hapa kila mwanamme awe mbunifuana si kila siku kuhesabu mabati kuwa mwanamme kuwa tofauti mtimizie ikibidi jiumize mara moja moja akujue vizuri jamani hawa viumbe dhaifu tunawashidwa vipi!!!!!. SABABU YA 9; kulipiza kisasi kwa mme wake pale anapojua kuna kimada. siwafundishi wanawake kuwa hivi ila hii ndiyo kweli kama mume kipanga lazima mke amkosehe heshima, sababu ataona kinyaa kwako, ataona amuwezani hapa ataanza kukupotezea na kutafuta vya nje.hupo hapo!. SABABU YA 8; mawasiliano mabovu. mke anahitaji zaidi ya ngono mwanamke anahitaji kupendwa kama mtoto vile, sasa kama hubby akishaoa anajua amemaliza mfanyie kama ulivyokuwa unamfanyia mwanzo kab la ujamuoa mkumbatie kwa mahaba, zawadi kama dawa, mabusu kama mbele, maneno matamu halafu uone atakavyo kuzudishia mara mia zaidi....lakini fanya kinyume uone atakavyoruka kuta. - kutokudhaminiwa/...
NAMZIMIA SANA HUBBY WA RAFIKI YANGU
- Get link
- X
- Other Apps
Nisaidieni mimi jamani! mapenzi hayana mwenyewe, nimeanza kama utani sasa nimejikuta nampenda kweli na wivu unanitawala sana.Mimi ni msichana mrembo nina rafiki wangu kipenzi, mimi yeye na yeye mimi. Rafiki yangu huyu nimesoma naye kuanzia O-leve, mpaka advance na sasa tupo wote chuo hapa dar es salaam, kwa kifupu ni urafiki wa damu. Mwaka jana katikati rafiki yangu huyu alinitambulisha kwa boyfriend wake ambaye ni kaka anayesoma chuo kingine ambacho hakiko mbali na chuo chetu, kwa kweli wanapendana sana na ni kaka mzuri sana ambaye rafiki yangu anajivunia kuwa naye, na kutokana na ukaribu wangu na rafiki yangu, nimekuwa nikiwasiliana sana na shemeji yangu huyu kiasi kwamba naye amekuwa ni mtu wa karibu sana, na muda wowote asipompata rafiki yangu amekuwa akinipigia mimi, na hata mara nyingine tumekuwa tukienda matembezeni watu watatu, yaani mimi rafiki yangu na shemeji, ukaribu nilionao na shemeji yangu huyu umenifanya nianze kumthamini na kumjali hadi naogop...