WETANGULA/KIKWETE NYUMA KATIKA NJAMA ZA KUMUUA ODINGA....DAILY NEWS..KENYA
JUMAPILI MAI 11, 2014 - Raisi wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na seneta Bungoma , Moses Wetangula, ni watajwa katika njama za kumpoteza Odinga, chanzo cha habari hii ni The Kenya DAILY POST.
kwa kuongezea ni kwamba kutoka katika chanzo kinacho aminika ndani ya chama cha ODM, watengulwa na kikwete, Arusha tarehe 5 waliongelea maswala ya usalama wa kwanda ya mashariki zikiwemo njama hizo za kumpoteza ODINGA.
Chanzo hiki kinasema kuwa Wetangula alikuwa na moto sana kuhusu kujulikana kwa tetesi hizi ila kikwete alikuwa akimpooza na kumtaka subira kwa wiki moja .......HABARI ZAIDI!.
Comments
Post a Comment