Posts

Showing posts from August, 2016

Fiesta festival 2016 Tanzania, The so fire festival ever been in Tanzania

Image
Fiesta festival 2016 is now on the hand it is just a moment to what we all waiting, fiesta festival is the best, wonderful and pleasant festival which was started 15th years ago aimed to introduce and strength the new upcoming artist to the market. The marathon of music tour in Tanzania. The 2016 fiesta festival is the 15th fiesta festival which is going to happen in about 15 region of Tanzania including Mwanza, Shinyanga, Tabora, Mara, Kahama, Kilimanjaro, Tanga,  Dar, Morogoro,Singida, Dodoma, Iringa, Mbeya, Musoma and Mtwara. Fiesta festival 2016 is going to start on 20th August 2016 in Mwanza Tanzania, fiesta festival 2016 will also include traditional dances as announced by the festival coordinator Sebastian Maganga. The fiesta festival 2016 is sponsored by Tigo Tanzania, clouds media and many other small sponsors. Tigo Tanzania is main sponsor of Fiesta 2016 music festival from July 25, 2016. Tigo Tanzania has announced that it will be the main sponsors of the Fiesta ...

Penzi la Baraka da Prince na Naj kikaangoni.

Image
Msanii wa Bongo flavour mwenye jina la kifalme Baraka da Prince ambaye ni mpenzi wa sasa wa mwanadada mrembo aliyenengua kwenye nyimbo nyingi ikiwemo ni mpenda nani ya Msanii maarufu Diamond Platinum anajulikana kama Najima aka Naj. Usiku wa kuamkia leo Najima alikuwa safarini na mpenzi wake wa sasa ambaye ni Baraka da Prince. Baraka alikuwa na shoo mjini mwanza ambapo aliamua kuambatana na mpenzi wake wa sasa. Kama ambayo unajua ni kweli kabisa kwamba Najima alikuwa koloni la Mr.Blue Baisa Simba. Kosa la kwanza la  Najima kimapenzi ni kuendelea na mpenzi wa zamani wakati anampenzi mpya. Kosa la pili ni habari za kusikitisha kwamba dada yetu Naj amemuandika Blue (save) kwenye simu kwa jina la kike. Ilikuwa kama sasa tano usiku wakati Blue ali pop in a simu kwa Naj ambapo simu yake ilikuwa kwa Baraka ila Naj alikuwa kamsave Happy ..ilikuwa hivi. Blue/Happy, ......haloo yuko wapi mwenye simu. Baraka. ...nani mwenzangu.  Hapy, ...Blue hapa. ...