Penzi la Baraka da Prince na Naj kikaangoni.
Msanii wa Bongo flavour mwenye jina la kifalme Baraka da Prince ambaye ni mpenzi wa sasa wa mwanadada mrembo aliyenengua kwenye nyimbo nyingi ikiwemo ni mpenda nani ya Msanii maarufu Diamond Platinum anajulikana kama Najima aka Naj.
Usiku wa kuamkia leo Najima alikuwa safarini na mpenzi wake wa sasa ambaye ni Baraka da Prince. Baraka alikuwa na shoo mjini mwanza ambapo aliamua kuambatana na mpenzi wake wa sasa.
Kama ambayo unajua ni kweli kabisa kwamba Najima alikuwa koloni la Mr.Blue Baisa Simba.
Kosa la kwanza la Najima kimapenzi ni kuendelea na mpenzi wa zamani wakati anampenzi mpya.
Kosa la pili ni habari za kusikitisha kwamba dada yetu Naj amemuandika Blue (save) kwenye simu kwa jina la kike.
Ilikuwa kama sasa tano usiku wakati Blue ali pop in a simu kwa Naj ambapo simu yake ilikuwa kwa Baraka ila Naj alikuwa kamsave Happy
..ilikuwa hivi.
Blue/Happy, ......haloo yuko wapi mwenye simu.
Baraka. ...nani mwenzangu.
Hapy, ...Blue hapa.

Baadaye saa sita usiku ndipo Baraka da Prince na mpenzi Naj wakaamua kuondoka na kuelekea chumbani.
Cloud's fm imejaribu kumuoji Blue ila yeye amekubali kwa mba kweli alipiga simu kwa Najima.
Comments
Post a Comment