Posts

Baba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi leo Jan 30,2015

Image
Mzee Moses Okoye , baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la ‘ P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba. Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao. Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye , baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye . Peter na Paul Okoye . Peter na kaka yake Jude Okoye . Kulikua na ulinzi pia Hakuna story itakayokupita.

UNYAMA, MTALAKA WA ASHA MASHAUZI DURBAN.

Image
HATIMAYE ukweli wa kutekwa, kuteswa kwa kudhalilishwa kwa aliyekuwa mume wa mwimba  taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’, umejulikana, Risasi Jumamosi limechimba. Mfanyabiashara, Jumanne Hassan ‘Tevez’ akiwa amefungwa kamba na watesi wake. Januari 28, mwaka huu, picha za Tevez akiwa ametoka kuteswa kwa kudhalilishwa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wengine wakidai kisa ni kukutwa na mke wa  mtu, wengine wakisema ni dhuluma. RISASI LAINGIA MTAANI KUCHIMBA Risasi Jumamosi halikufanya haraka kuichapisha habari hiyo mpaka kuichimba kwanza ili kujua kisa na mkasa kamili ndipo iwapelekee wasomaji wake. Na ndivyo ilivyofanyika! ENEO LA TUKIO Risasi Jumamosi lilichimba na kubaini kuwa, tukio la Tevez kufanyiwa ukatili huo lilitokea kwenye mji wa Durban nchini Afrika Kusini ambako alikwenda kibiashara. “Tukio si la Dar kama wanavyosema wengine, limetokea mjini Durban, Afrika Kusini. Si unajua jamaa ...

DIAMOND NA JK IKULU KUNANI!

Image
NYUMA ya ukaribu wa Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, kuna siri nzito kufuatia mambo mbalimbali yanayojitokeza kati yao kila kukicha, jionee picha hapa chini. KAMA MWANAFAMILIA “Mara nyingi siku hizi ninapokutana na rais wetu nimekuwa nikijisikia kama mwanafamilia kutokana na jinsi anavyoniongoza na kuthamini kila kazi inayotokana na muziki wangu jambo ambalo ni la kujivunia sana kwenye maisha yangu maana ninaona wasanii kibao katika nchi nyingine hawafanyiwi haya tunayopata sisi wasanii wa Tanzania kutoka kwa mheshimiwa. “Nina uhuru mwingi sana wa kuzungumza naye na amekuwa akifanya hivyo karibia kwa kila msanii na kutambua hilo na ndiyo maana hata tuzo zangu nilizopata mwaka 2014 nilimjulisha pamoja na yeye kujua na kunipongeza lakini pia mafanikio hayo naamini yamepatikana kutokana na sapoti yake kubwa ambayo amekuwa akinipatia mara kwa mara.

nafasi za kazi januari 2015

Image
JOB ANNOUNCEMENT                         VIETTEL TANZANIA LIMITED- MANYARA BRANCH Back ground Viettel is  one of the world’s fastest growing telecom operators that holds a national Network Facilities (NF) license for fixed line and mobile networks and is thought to be looking to roll out a third-generation mobile network based on UMTS/W-CDMA technology.   It has been well known as a pioneer who has ushered in a telecommunications revolution in just a few years, transforming telecom services to a commodity for all social classes and to all rural and remote areas. Currently Viettel runs networks in Vietnam, Laos, Cambodia, Timor-Leste, Peru, Haiti, Mozambique, Cameroon, Burundi & Tanzania For implementing business plan in 2014 and 2015 and our development strategy, we plan to hold recruitment of talente...

OHOO! MTUMISHI WA MUNGU ANASWA NA MKE WA MTU!.

Image

KATUNI "CATOONS" ZA MWAKA 2015

Image

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 14 JANUARI 2015 CCM YAMTOSA MUHONGO

Image