AFANDE APATWA NA MSIBA MKUBWA.

Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani.

MKE wa mwanamuziki Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa Malaria.

Marehemu aliugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kabla ya mauti kumfika na mwili wake unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika Makaburi ya Kola mkoani humo.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Afande Sele aliandika hivi baada ya msiba huo:

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.