AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA ISLAM LEO AUGUST 14 2014 LIKIELEKEA ARUSHA NI SHIDAH ONA HAPA.

Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali eneo la kwa Mndulu katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa jana, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili. Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T578CQR.

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.