Naibu Waziri Stephen Maselle Na Mchange wakipanga Kuilipua Helkopta Ya CHADEMA ili Kumuua Slaa, video hii hapa.

Diwani Sebastiani amewaambia wanahabari kuwa mwakajana walifanya vitendo haramu wakishirikiana na CCM na baadhi ya waliokua wanachadema wakiongozwa na Mchange.

Wanasema wamekuja kuomba toba kwa viongozi wa juu wa CHADEMA na wanachama ili wasamehewe kwa usaliti huu mkuu Wanasema baada ya Zitto kuvuliwa madaraka ndani ya Chadema ,Mchange alipewa Dili na CCM la kuwarubuni madiwani na viongozi ndani ya CHADEMA ili watoe matamko na kuonyesha kuwa Chama kina mpasuko.

Anasema January 2014 Mchange alimpigia simu kuwa Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele ana dili la shilingi milioni 180. Na baadae Masele alimpigia simu wakakutana na kupanga njama za kufuatilia ziara ya Dr. Slaa kanda ya ziwa na kupanga kuilipua Helkopta ya Dr.Slaa iliyokua itue Shinyanga

slaa
Dk. Slaa


ANGALIA VIDEO HAPA CHINI:
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=SJxkqcBzrUg

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.