FIESTA MWANZA YOUNG D NA MR.BLUE NI SHIDAH MBAYA SANA.

f53

Salute kwa jeshi la Polisi ambalo lilisimamia mzigo mzima kuanzia mwanzo mpaka mwisho Aug 9 2014 na kuifanya hii siku iwe ya amani mpaka mwisho na watu wetu wa nguvu Mwanza.

Kiukweli hii ni rekodi nyingine katika rekodi za Serengeti Fiesta Mwanza, asante kwako uliejumuika na sisi pamoja kuenjoy lakini pole pia kama ulikosa nafasi ya kuenjoy na sisi kwenye hii siku, show zinazofata ni Bukoba Ijumaa hii na Kahama Jumapili hii.Picha ya upande wa kushoto mwa stage.
Baraka da Prince na watu wake
Makomando kazini.




Fetty kutoka XXL ya Clouds FM

Mkali kutoka XXL, Adam Mchomvu

B12 na Adam


Young Killer Mwanza Mwanza


Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.