Posts

Showing posts from December, 2014

VICHWA VYA HABARI YA MAGAZETI YAKUFUNGA MWAKA NA KUANZA MWAKA 2015 HIVI HAPA

Image
www.mambobomba.blogspot.com . Kama kawaida millardayo.com i nakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

MSANII WA BONGO FLEVA DIAMOND NA MPENZI WAKE MFANYABIASHARA AITWAYE ZARI NDANI YA RWANDA MWAKA MPYA 2015

Image
www.mambobomba.blogspot,..Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’  au ‘The Boss Lady ’ baada ya kuwasili Rwanda jana. Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan ‘Zari’  au ‘The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Rwanda. Diamond na The Boss Lady wakifanya yao. Diamond (kulia) akiongea na wanahabari baada ya kuwasili Rwanda. Wanahabari wakifanya yao

HABARI MPYA,MISS TANZANIA YASITISHWA KWA MISIMU MIWILI.

Image
Shindano la Miss Tanzania limesimamishwa kwa muda wa misimu miwili ili kutoa fursa kwa waandaaji wa shindano hilo kurekebisha baadhi ya kasoro ambazo zimekuwa zikilalamikiwa mara kwa mara.   Akizungumza na Mpekuzi Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Godfrey Mngereza amesema kuwa serikali kupitia baraza hilo imefikia umamuzi huo kutokana na malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wadau mbalimbali na wapenzi wa shindano hilo.   Amesema imefika wakati sasa waandaji warekebishe masuala kadhaa ili kuondoa malalamiko na manung’uniko miongoni mwa wadau ili kulipa heshima shindano hilo, pia liweze kuheshimika na kila mtu.   Mngereza ameongeza kuwa, serikali kupitia wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imelipa dhamana baraza hilo kisheria kushughulikia masuala yote yanahusu sanaa na Utamaduni hivyo baraza hilo lina mamlaka ya kuingilia kati endapo litajiridhisha kuwa kuna mas...

picha chafu.NI SHIDAH DENTI WA CHUO KIKUU DAR ATOA PICHA ZA UTUPU LAANA!

Image
AIBU kubwa, Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika mtandao mmoja wa kijamii makusudi na bwana’ke, anayedaiwa kuwa ndiye aliyempiga kwa ridhaa yake mwenyewe kabla ya kukorofishana. Inadaiwa kuwa picha hizo ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika blogs karibu zote nchini IKIWEMO www.mambobomba.blogspot.com, hatimaye zilimfikia msichana huyo anayedaiwa kuishi Tabata, ambaye kwa aibu, alimtumia msichana mwingine. Picha ya Martha ya utupu akiwa bafuni. Baada ya Martha kumtumia msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Lilian aliyedai kuwa ni dada yake, akimlaumu mmiliki wa mtandao kwa kuzirusha picha za mdogo wake bila kuuliza zilikotoka. Gazeti hili linayo majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmilik...

MAJONZI MAZITO:AISHA MADINDA MNENGUAJI WA BENDI YA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA.

Image
Tasnia ya mziki Tanzania yapata pigo jingine, www.mambobomba.blogspot.com, inakuletea Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.   Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta amesema kuwa alipewa taarifa na Daktari mmoja kuwa wameona kama mwili wa Aisha Madinda hospitalini hapo, ndipo akatuma watu kwenda kuangalia akiwemo Luiza Mbutu ili kuhakikisha kama kweli ni yeye ndipo walipogundua ni yeye.   “ Mimi nipo njiani natoka Kigoma kuja Dar es Salaam, ni habari ya kusikitisha sana maana Aisha amefariki katika mazingira ya kutatanisha sana, jana alikuwa mzima na anachati na watu kwenye simu leo napigiwa simu mwili wake umekutwa umehifadhiwa kwenye hospitali ya Mwananyamala, hata sielewi nini kimetokea”. Amesema Asha Baraka   Mungu ailaze roho ya Marehemu Aisha Madinda mahali pema peponi , Amina

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ajivua gamba.

Image
www.mambobomba.blogspot.com, inakuletea Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na mpya ya kujiuzulu.Ni suala ambalo watanzania walilitarajia muda mrefu ila limetimia sasa.     Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia jana, Jumanne, kufuatia sakata la uchotaji wa fedha kutoka akaunti ya ESCROW ambapo zaidi ya dola milioni 120 zilihamishwa. Mwanasheria mkuu, pamoja na baadhi ya wanasiasa na maafisa waandamizi wa serikali walituhumiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine kufanikisha kufanyika kwa miamala haramu ya fedha za Akaunti ya Escrow ya Tegeta. Leonard Mubali ameandaa taarifa ifuatayo: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Dar es Salaam, imesema Rais Jakaya Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu huyo wa Serikali. Katika barua yake kwa Rais Kikwete, Jaji Werema amesema a...

CHADEMA VS CCM.TATHMINI MAJIJI