RAY ACHA KUZINGUA HARUSI LAZIMA ICHANGIWE?.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini, Vicent ‘Ray’ Kigosi amedai kushangazwa na watu wenye uwezo mkubwa lakini bado kwenye harusi zao wanachangisha michango.
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Boys Boys cha TV1, Ray ameshauri ni bora kujipanga kabla ya kuoa kuliko kuwasumbua watu na kadi za michango.
ray
 

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.