SPIKA WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA ATOA KAULI ZINAZOWATIBUA WADAU WAKE BUNGENI.


Kauli ya Samwel Sitta (Spika wa Bunge Maalum la Katiba) yawatibua wadau!
- Wadai kama ana ndoto za urais 2015 asahau kabisa kupata nafasi hiyo
- Wengine wadai ni dikteta kwa kuwakandamiza watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa Katiba
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?


Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.