LULU,MAPEDESHEE NDIYO WANAOWAFANYA WASANII WA KIKE WA BONGO MOVIE WAWE NAKIPATO KIKUBWA.
ELIZABERTH Michael‘ Lulu’ ni moja ya wasanii wa kike wanaoendesha maisha yako kwa sanaa ya muvi lakini je ndivyo ilivyo kweli!.. Lulu amefunguka kuwa wasanii wa kike wa
filamu wana biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo
inawalipa zaidi.
“Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili,” alifafanua.
“Hakuna anayefirikiria kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa imlipe na wengi wanawategemee mapedejee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa,” alisema
Lulu amepasua kuwa wasanii hao wanawategemea mapedejee kuendesha
maisha yao huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie
wanalipwa vizuri kutokana na filamu wanazoigiza.
“Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili,” alifafanua.
“Hakuna anayefirikiria kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa imlipe na wengi wanawategemee mapedejee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa,” alisema
Comments
Post a Comment