Posts

Showing posts from June, 2016

Congo DR,Moses Katumbi Mgombea urais alitangaza nia miaka 3 jela

Image
Mgombea urais wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi, amehukumiwa kifungo cha miezi 36 jela kwa kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubumbashi. Pia alipigwa faini ya dola milioni 6. Katumbi hakuwa mahakamani wakati wa kutolewa kwa hukumu hiyo, baada ya kusafiri kwenda afrika kusini kupata matibabu siku moja baada ya serikali kutangaza waranti wa kukamatwa kwake kwa mashtaka tofauti. Analaumiwa kwa kuwaajiri mamluki wa kigeni ili kipanga njama dhidi ya serikali. Katumbi amekosoa hukumu hiyo, akisema kuwa ni jaribio la kutaka kuchelewesha kampeni yake ya kutaka kumrithi Rais Joseph Kabila mwezi Novemba.

South Africa, Serikali ya Africa Kusini imetangaza manispaa 15 masikini zaidi nchini kwao.

Image
Kama ilivyokuwa kwa Kigoma nchini Tanzania ndivyo ilivyokuwa kwa Alfred Nzo nchini South Africa ambapo zaidi ya 90% ya wakati wanaishi katika kiwango cha chini. Manispaa tajiri . 1.JohannesburgGP3.6% 2.TshwanePretoriaGP2.9% 3.CapeTownCapeTownWC2.0% 4.EkurhuleniGermistonGP1.5%. 5.ThekwiniDurbanKZN1.2% 6.Cape WinelandsStellenboschWC1.1% 7.EdenGeorgeWC1.1% 8.West RandRandfonteinGP1.1% 9.Buffalo CityEast LondonEC0.9% 10.MangaungBloemfonteinFS0.9% 11.Nelson Mandela BayPort ElizabethEC0.9% 12.GertSibandeErmeloMP0.8% 13.NkangalaMiddelburgMP0.8% 14.SedibengVereenigingGP0.8% 15.MgungundlovuPietermaritzburgKZN0.7% Manispaa masikini zaidi. 1.Alfred NzoMount AyliffEC90.2% 2.AmatholeEast LondonEC89.5% 3.UMzinyathiDundeeKZN89.2% 4.ORTamboMthathaEC88.7% 5.MkhanyakudeMkuzeKZN88.6% 6.ZululandUlundiKZN87.7% 7.Chris HaniQueenstownEC86.3% 8.SisonkeIxopoKZN85.9% 9.Dr Ruth Segomotsi MompatiVryburgNW85.3% 10.Joe GqabiBarkly EastEC85.1% 11.VhembeThohoyandouLP84.8% 12.Greater...

Miss World Kenya Roshanara Ibrahim kamtumbua mbunge wa Gatundu Moses Kuria.

Image
I had never  met nor dated Moses Kuria, hiki ndiyo kichwa cha habari cha leo katika blog za Kenya. Roshanara Ibrahim miaka 22 miss Dunia kutoka Kenya mwaka 2016 alikuwa na skendo kubwa zidi ya kutoka na mbunge wa jimbo la kusini Moses Kuria. "The first story came out before Madaraka Day that I was seeing him and that he had bought me a car, those are all lies since I had never met him nor did I know who he was," said Roshanara. "I saw him during Madaraka Day in Nakuru and that's it. We are not dating nor are we even in communication." Roshanara alisema ajawahi kukutana naye wala kutoka naye bali nilimwona sikukuu ya Madaraka mjini Nakuru lakini pamoja na yote blogs za Kenya zimemsema kuwa na uhusiano wa kimahaba na Kuria.

NIGERIA, KIKOSI MAALUM KIMEANZISHA MAPAMBANO DHIDI YA BOKO HARAM.

Image
Chanzo, Reuters. Shiraka la utangazaji la Marekani Reuters limetangaza habari kufuatia kuanzishwa kwa kikosi cha shirikisho la nchi kadhaa za Afrika magharibi ikiwemo Nigeria na jirani wake Niger pamoja na Chad kikiwa na lengo madhubuti kuitokomeza Boko Haram,  rejea kipande cha habari hapo chini... ( A multinational force has begun operations against Boko Haram along the border between Niger and Nigeria, a general in Niger said on Tuesday. Brigadier-General Abdou Sidikou Issa, who is the tactical chief of staff for troops based in Niger's southern zone of Diffa, said troops from Chad and Nigeria were involved in the operation.). Katika kikosi hicho cha shirikisho Chad pekee imetoa majeshi 2000. Haha yamefanyika baada ya kikundi cha Boko Haram kufanya vita katika mpaka wa Chad na Niger Diffa fuatilia ramani hapa chini. Ina semekana kuwa idadi ya watu 600000 wanaishi bila amani huku wengine 25000 wamepoteza shughuli zao za kuwaingizia kipato.  Nchi zinazochukul...

BUNGE LA TANZANIA LAJADILI KUHUSU MSAMAHA WA ALIYETUKANA RAIS J.P.MAGUFULI.

Image
Mbunge wa Nchemba Juma Nkamia alisimama bungeni kuomba mwongozo wa bunge kujadili tukio la mtuhumiwa wa kesi ya kumtukana Rais Magufuli kuchangiwa fedha na watu kwa ajili kulipa fidia, kitendo kinachoashiria dharau. Mwongozo wa Nkamia ukaungwa mkono pia na Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde. Nkamia alisema…>>>’Kuna mtu alimtukana Rais na akahukumiwa kwenda jela au kulipa faini ya milioni 7, alilipa nusu ya faini ile na akaruhusiwa aondoke akatafute fedha nyingine. Nilitaka wanasheri watusaidie, hivi kumtukana Rais wa nchi alafu yule aliyetukana anaruhusiwa akatafute fedha za kulipa‘ –Juma Nkamia ‘Siku ya kukabidhiwa fedha anaita na waandishi wa habari, na baadhi ya wabunge humu ndani wa chama fulani walionyesha wananchangia fedha yule mtu ili akalipe faini. Kwahiyo ni maana kuwa alitumwa na chama hicho akamtukane Rais.’ –Juma Nkamia ‘Sasa naomba kujua sio dharau kwa Rais? sheria inaruhusu jambo hili kufanyika? na kama mimi leo nikahukumiwa kwa kesi ya kuiba kuku siwez...

Poorest Regions in Tanzania 2016...mikoa mitano masikini zaidi nchini Tanzania

Image
Maeneo ya vijijini Watanzania wengi wanaishi kwenye umaskini na uwezo wao wa kupata mahitaji ya msingi ni mdogo Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amewasilisha bungeni Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa Fedha wa 2016/17, huku akitaja mikoa mitano inayoongoza kwa umaskini nchini. Dk Mpango alisema mikoa hiyo imebainika katika Tathimini ya Hali ya Umaskini kimaeneo iliyofanyika kwa kutumia takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 na utafiti wa Hali ya Kipato na Matumizi katika kaya ya mwaka 2012. Aliitaja mikoa hiyo na asilimia ya umaskini kwenye mabano Kigoma (48.9), Geita (43.7), Kagera (39.3), Singida (38.2) na Mwanza (35.3). Kwa upande wa wilaya umaskini mkubwa upo katika Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma na Biharamulo mkoani Kagera na takribani asilimia 60 ya watu wapo chini ya mstari wa umaskini wa mahitaji ya kimsingi. “Hii ina maana kuwa maeneo ya vijijini hususan pembezoni bado Watanzania wengi wanaishi kwenye umaskini na uwezo wao wa ...

Bajeti ngumu ya JPM pombe magazeti ya leo June 9 2016

Image
H

Bajeti ya JPM Pombe magazeti ya leo June 9 2016

Image

Ramadhani njema, Mh.E Lowassa amewatakia waislam mfungo mwema .

Image
Waislam wapata Salam za Ramadhani kutoka kwa aliyekuwa waziri mkuu Mstaafu mwenye mahamuzi magumu. Waziri Mkuu wa Mstaafu ambaye pia alikuwa mgombea urais kwa Tiketi ya Chadema ameibuka na kuwatakia mfungo mwema waislam wote nchini. Kupitia ukurasa wake wa facebook. Lowassa ameandika; "Waumini wa kiislam Tanzania wanaungana na wenzao kote duniani katika kutimiza moja ya nguzo tano Za uislam kufunga Ramadhan. "Mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ni kipindi muhimu sana kwa waislam kuwa karibu na mola wao. "Kwa niaba ya Mke wangu Regina na Mimi binafsi, nachukua nafasi hii kuwatakia waislam wote nchini,kila la kheri na baraka tele kwenye mwezi huu. "Hata hivyo nasononeshwa na hali ya maisha ya watanzania nchini hivi sasa inavyozidi kuwa ngumu.Bei Za bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. "Nawaomba wafanyabiashara kupunguza bei ya bidhaa hususan zile muhi...

Vichwa vya magazeti ya Leo juni 7 2016

Image
Juni 7 2016, magazetini

New,Picha kali za mwana FA na AY katika kuifuta bado nipo nipo ya FA.June

Image
June,5 2016 imemwekea Msanii wa Bongo fleva Mwana FA kumbukumbu sahii za ndoa yake. Shemela,  FA na AY ndani ya sasa siposipo ten a. 

Magazeti ya Leo June 4 2016,Champion, Spoti, U huru, Raia na Nipashe.

Image

Jackline Wolper alivyodatishwa na Mkongo.

Image
Wolper Adai Kiingereza Kilimfanya Adanganyike Kwenda South Africa na Mkongo....       Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amesema alijikuta akidanganyika kwenda Afrika Kusini kwasababu alitaka akasomee Kiingereza, lugha anayoamini ni muhimu wake. Akiongea kwenye kipindi cha Take One, kinachoruka kupitia Clouds TV, Wolper amesema kuwa chuki zilizopo kwenye kiwanda cha filamu na tatizo la kutoijua lugha hiyo ndiyo sababu nyingine iliyomfanya akubali kumfuata mpenzi wake Mkongo Afrika Kusini. “Ndiyo maana mimi mwenzangu nilikubali kudanganyika kwenda South Afrika kusoma kizungu,” alisema. “Mimi mchaga napenda hela, ilikuwa siyo rahisi kukubali kwenda kusoma Afrika Kusini na kuacha sanaa yangu napata mwenyewe milioni nne au tano maisha yangu yanaenda. Lakini nimekubali kwenda kule kusoma lugha at least nivuke hatua niende sehemu nyingine kwa sababu wenzetu huku wana chuki na hakuna kitu kinachoendelea vitu vimefeli. Lakini vitu vikagoma, I am sure kwamba ba...