NIGERIA, KIKOSI MAALUM KIMEANZISHA MAPAMBANO DHIDI YA BOKO HARAM.
Chanzo,
Reuters.
Shiraka la utangazaji la Marekani Reuters limetangaza habari kufuatia kuanzishwa kwa kikosi cha shirikisho la nchi kadhaa za Afrika magharibi ikiwemo Nigeria na jirani wake Niger pamoja na Chad kikiwa na lengo madhubuti kuitokomeza Boko Haram, rejea kipande cha habari hapo chini...
( A multinational force has begun operations against Boko Haram along the border between Niger and Nigeria, a general in Niger said on Tuesday.
Brigadier-General Abdou Sidikou Issa, who is the tactical chief of staff for troops based in Niger's southern zone of Diffa, said troops from Chad and Nigeria were involved in the operation.).
Katika kikosi hicho cha shirikisho Chad pekee imetoa majeshi 2000.
Haha yamefanyika baada ya kikundi cha Boko Haram kufanya vita katika mpaka wa Chad na Niger Diffa fuatilia ramani hapa chini.

Ina semekana kuwa idadi ya watu 600000 wanaishi bila amani huku wengine 25000 wamepoteza shughuli zao za kuwaingizia kipato. Nchi zinazochukuliwa katika madhara ni Cameron, Chad, Nigeria na Niger.
Comments
Post a Comment