Miss World Kenya Roshanara Ibrahim kamtumbua mbunge wa Gatundu Moses Kuria.
I had never met nor dated Moses Kuria, hiki ndiyo kichwa cha habari cha leo katika blog za Kenya. Roshanara Ibrahim miaka 22 miss Dunia kutoka Kenya mwaka 2016 alikuwa na skendo kubwa zidi ya kutoka na mbunge wa jimbo la kusini Moses Kuria.
"The first story came out before Madaraka Day that I was seeing him and that he had bought me a car, those are all lies since I had never met him nor did I know who he was," said Roshanara. "I saw him during Madaraka Day in Nakuru and that's it. We are not dating nor are we even in communication."
Roshanara alisema ajawahi kukutana naye wala kutoka naye bali nilimwona sikukuu ya Madaraka mjini Nakuru lakini pamoja na yote blogs za Kenya zimemsema kuwa na uhusiano wa kimahaba na Kuria.

Comments
Post a Comment