Posts

Showing posts from July, 2014

Afrika Magharibi Ebola inatisha shule za fungwa.

Ebola ni tishio Afrika Magharibi Nchi ya Liberia imefunga mipaka yake iliyo mingi ya kuingia nchini humo ili kudhibiti kuenea kwa maambukizi mapya ya ugonjwa Ebola. Hata hivyo katika kuongeza jitihada Zaidi nchi hiyo vituo vya uchunguzi vimewekwa katika baadhi ya mipaka ya kuingia nchini humo vikiwemo viwanja vya ndege. Katika hatua nyingine moja ya shirikakubwa la ndege Nigeria la Arik Air limesitisha ndege zake kuelekea Liberia na Sierra Leone baada ya mtu mmoja kubaini kuwa na ugonjwa huo wakati akisafiri kwa ndege kuelekea Nigeria. Hadi sasa virusi vya Ebola vimesababisha vifo kwa watu 660 Afrika Magharibi tangu ugonjwa huo ulipozuka mwezi February mwaka huu. Nigeria pia inachukua tahadhali katika mipaka yake baada ya kuthibitisha kufariki kwa raia mmoja wa Liberia wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Lagos.

Liberia yatangaza amri ya kufungwa kwa shule zote

Rais wa Liberia,Ellen Johson Sirleaf ametangaza amri ya kufungwa kwa shule zote nchini humo kama mpango wa taifa hilo wa kukabiliana na ugonjwa wa homa ya Ebola. Mpango huo pia unashirikisha kuzitenga baadhi ya jamii zilizokatika hatari ya kuambukizwa ugonjwa huo. Taarifa zinazohusiana afya Hatua hiyo inajiri huku maafisa wa afya wakidaiwa kuzongwa na kazi katika mji mkuu wa Monrovia ambapo vyumba vya kuwatenga waathiriwa wa ugonjwa huo vimejaa. Katika visa vingine wagonjwa wamelazimika kutibiwa nyumbani kutokana na ukosefu wa vituo vya kutoa matibabu. Ebola imeua sasa watu 672 magharibi mwa Afrika Mwandishi wa BBC aliyeko huko Thomas Fessy anasema huu ni mpango huo ambao mamlaka inaamini utapunguza mtagusano baina ya jamii na hivyo basi kusitisha kuenea zaidi kwa Ugonjwa huo unaoua. Shule zote nchini humo zimefungwa ,na tayari wafanyikazi wa mashirika na Wizara za Serikali zisizo na umuhimu mkubwa wamepewa likizo ya siku 30. Baadhi ya jamii zimetengwa-na kupewa madawa na ...

Ban Ki alaani mashambulizi ya shule

Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-Moon amelaumu mashambulizi ya Israel dhidi ya Shule ya Umoja wa Mataifa iliyoko Gaza ambako maelfu ya Wapalestina walikuwa wamejihifadhi kukwepa mashambulizi. Ban Ki moon amesema hakuna kitu cha aibu kama kushambulia watoto waliolala. Amesisitiza uwajibikaji kwa waliofanya kitendo hicho kilichowaua watu 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa. Taarifa zinazohusiana israel Marekani nayo bila kuitaja waziwazi Israel wamelaumu kitendo hicho. Hata hivyo msemaji wa Jeshi la Israel Luteni Kanali Peter Lerner amesema lilikuwa tukio la kuumiza mno. Msemaji kimataifa umoja wa mataifa Chris Gunness amesema kitendo hicho cha jeshi la Israel hakiwezi kuwa na sababu ya kujitetea tunalaani vikali ukiukwaji huu wa sheria za kiamataifa zilizofanywa na majeshi ya Israel kwa sababu uchunguzi tuliofanya umeonyesha kwamba wanahusika. Tulishalionya jeshi la Israel mara 17, tuliwaambia kwa hakika shule ilipo, tukawaambia ilikuwa imejaa zaidi ya watu 3000 ambao walikim...

Liberia yashambuliwa na ugonjwa wa Ebola

Waziri wa habari wa Liberia Lewis Brown amesema nchi yake haiwezi kuimudu hali ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Amesema Liberia inahitaji msaada toka jumuiya za kimataifa kutuma wataalam wa tiba ili wasaidie. Brown ameuelezea mlipuko wa ugonjwa huo kuwa si wa kawaida. “Huu bado ni mshituko. Uwezo wa huduma za afya ya jamii na vifaa vimezidiwa. Maambukizi na kutapakaa ni kwa namna ambayo hatukuwahi kuwa nayo. Tunapungukiwa wahudumu wa afya na kwakweli tunahitaji wataalam zaidi wa afya” alisema Brown Amesema Liberia inahitaji vifaa vya huduma za kiafya, wataalam wenye uzoefu wa kiafya kutokana na hali ya ugonjwa huo ilivyo,tunahitaji chochote kinachoweza kutusaidia kupambana na ugonjwa wa Ebola amesisitiza Serikali ya Uingereza imeitisha mkutano wa dharura kupanga hatua za kuchukuliwa kwa ushirikiano na serikali ya Ufaransa na Marekani. Umoja wa Ulaya imetenga dola milioni 2 nukta 5 za ziada ili kupambana na Ebola. Tangu Ebola ilipoanza mwezi Februari mwaka huu, zaidi ya watu 670 ...

Mh Lowassa ni kiongozi makini ambaye hawezi kupoteza muda wake kujiingiza katika masuala yasiyo na tija kwa nchi

Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zitto Kabwe katika kile gazeti hilo kilichodai mikakati ya siri dhidi ya Chadema. Habari hizo ni uzushi, na ni muendelezo wa mikakati ya kumchafua na kumgonganisha Mh Lowassa na wanasiasa wenzake wa kada na maeneo mbalimbali.Mh Lowassa kama walivyo wabunge wengine wa CCM amekuwa na uhusiano na wabunge wenzake bila kujali tofauti ya vyama vyao. Mh Lowassa ni kiongozi makini ambaye hawezi kupoteza muda wake kujiingiza katika masuala yasiyo na tija kwa nchi, wananchi na ustawi wa demokrasia makini na endelevu nchini.Muda wake anautumia kusimamia utekelezwaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM jimboni kwake Monduli. “Mimi na chama chetu, tuko busy kutekeleza ilani yetu,kuwaletea maendeleo wananchi ili wazidi kutupa ridhaa ya kuwaongoza katika chaguzi zijazo” alisema Mh Lowassa. LOWASA Hata hivyo,Mh Lowassa anathamini mchango wa vyama ...

India, kijiji chafunikwa na maporomoko,India

jiji chafunikwa na maporomoko,India Zaidi ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India,huku 20 wakithibitishwa kufariki dunia katika kijiji cha kijiji cha Malin karibu na mji wa Pune lilikotokea janga hilo. Kazi ya uokoaji inaendelea katika eneo hilo huku hali ya hewa mbaya ikidaiwa kuchelewesha harakati hizo. Vikosi vya uokoaji vimeendelea na kazi ya kuwanusuru waliofukiwa na maporomoko ya udogo huo, japo kuwa mazingira magumu na hali mbaya ya hewa vinakwamisha shughuli hiyo.Maporomoko hayo yaliyokikumba kijiji cha Malin India karibu na jimbo la Maharashtra yamesababisha nyumba nyingi kusombwa huku watu wakihofiwa kunaswa pia katika eneo hilo. Mwandishi wa BBC Devidas Desh pande aliyepo katika eneo la tukio anasema jingo pekee linaloonekana kunusurika na janga hilo ni ya shule pekee, huku maeneo mengine yakiwa tambarale kabisa. Narendra Modi ni waziri mkuu wa India na hapa anaelezea hatua wanazozichukua. Maporomoko ya ardhi ni jambo la kawaida kutokea nch...

Air Algerie AH5017: Abiria wote waliangamia jangwani, pole sana ALGERIA.

Air Algerie AH5017: Abiria wote waliaga 25 Julai, 2014 - Saa 09:38 GMT Abiria wote na wahudumu wa ndege ya Air Algerie AH5017 waliangamia jangwani. Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametangaza kuwa majeshi ya ufaransa yamefaulu kupata mabaki ya ndege lakini hawakuweza kuokoa nafsi hata moja. Aidha rais Francois Hollande ametangaza kuwa majeshi hao wamepata mtambo wa kunukuu sauti ''Blackbox'' huko Mali ilikoanguka ndege hiyo iliyokuwa ikielekea mji mkuu wa Algeria Algiers. Ndege hiyo ilikuwa imetoka mji mkuu wa Burkina Faso Ouagadougou ikiwa na Abiria 110 na wahudumu 6 . Abiria 50 waliokuwa ndani ya ndege hii walikuwa ni raiya wa Ufaransa.

Jokate aendeleza nyendo za Wema Sepetu katikaka kumpata Bwana wa Kumuoa.

by www.mambobomba.blogsport.com Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa. “Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina kipingamizi ila mbali na vigezo vingine awe na mapenzi ya dhati na mimi,” alisema Jokate. jokate mwigelo Jokate amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi kiasi cha wengi kuamini ni msichana anayejiheshimu sana ila aliwahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet anayekipiga kwenye Timu ya Oklahoma City Thunder ya nchini Marekani.

Mzee kuumizwa, BARNABA adaiwa kulifaidi penzi la beki 3 wa WEMA SEPETU.

Msanii BARNABA adaiwa kulifaidi penzi la beki 3 wa WEMA SEPETU Posted by Gumzo on July 25, 2014 barnaba July 25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video yake ya Wahaladee ambayo imetengezwa kwenye ardhi mbili ya Tanzania na Kenya,Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana anayesemekana mpenzi wake kusimamishwa kazi alikokuwa anafanya kazi nyumbani kwa Wema Sepetu.

SUDAN; binti wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi uislamu ndani ya Italia

Image
Binti wa SUDAN aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya UISLAMU ahamishiwa ITALIA MWANAMKE wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi mmoja. Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo Pistelli. Awali Meriam alihukumiwa kifo na viboko 100 baada ya kuasi dini ya baba yake ambaye ni Muislamu na kuolewa na Mkristo, Daniel Wani. Meriam Ibrahim akiwa na mumewe Daniel Wani pamoja na mtoto wao wa kwanza. Baadaye mwanamke huyo alifanikiwa kuachiwa huru baada ya wanaharakati kuingilia kati japo alikamatwa tena kabla ya kuachiwa na kukaa katika ubalozi wa Marekani, Khartoum. Meriam amekana katu katu kuwa mwislamu dhidi ya tuhuma zilizomkabili ingawa anatumia majina yenye asili ya kiislamu lakini yeye hakuwahi kuwa mwislam hata kido...

WASANII WA KIKE WA BONGO MUVI NDANI YA UKAHABA NI NANI ZAIDI KATI YA LULU,WEMA, JACK,ANT NA WENZAKE!JIONEE HAPA !.

Image
  www.mambobomba.blogsport.com/bongo muvi   NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Aunt Lulu. Licha ya kubanwa na sheria pamoja na maadili, wapo wasanii ambao kwa nyakati tofauti walijikuta katika adha ya kupigwa kama si kujipiga picha za utupu kisha zikazagaa Wapo waliotajwa kupiga picha hizo , waliopigwa na wapenzi wao kisha wakazivujisha lakini wengine imedaiwa kuwa wamezivujisha wenyewe na kusingizia zimevujishwa na wapenzi wao. Ifuatayo ni orodha ya wasanii mbalimbali Bongo ambao waliwahi kukwaa skendo ya picha za utupu: Wema Sepetu. Wema Sepetu: Mwaka 2010 picha yake ya utupu ilizagaa mtandaoni huku ikidaiwa kuwa chanzo cha kusambaa kwake ni boifrendi wake ambaye alimpiga na kuzisambaza. Kama hiyo haitoshi, mwaka huu mrembo huyo alidaiwa kuposti picha zake nyingine za utupu katika mt...

hii ni shidah!, soma uone.

Image
PENZI ni tamu sana kila mtu anatambua hilo,     na kukoswa pendo ni uchungu sana katika maisha ya binadamu. Pamoja na hayo yawezekana wewe unayesoma blogu hii na wewe unampango wa kumuacha mpenzi wako, kutokana na sababu mbalimbali lakini yote hayo ni sawa  na kupotea ndugu yangu. Nakuomba sana usimuache mke wako kwani daima ulishamutamkia kuwa unampenda na hutamuacha kamwe katika maisha yako! Kumbuka baada ya kumuacha mrembo bibie utapata nini au utafaidika na nini? Zaidi ya kuanza kujuta na kuumia roho yako? Wapo wanaume wengi wanaoachana na wake zao matokeo yake wanaanza kujutia kitendo hicho. Namkumbuka baba mmoja tajiri mkubwa katika jiji hili la Dar aliwahi kuja katika ofisi zetu za ushari ili kuomba ushari wa doa yake Baada ya mke wake kuchoshwa na baba huyo na kuamua kurudi kwao Mwanza. Sasa baada ya kuachwa baba huyo alianza kuumia zaidi na kuwa anashinda nyumbani badala ya kwenda kazini, jambo ambalo ...

ALGERIA:MABAKI YA NDEGE ILIPOTEA JUZI YAONEKANA.

Image
Mabaki ya ndege Algeria yaonekana www.mambobomba.blogsport.com, 25 Julai, 2014 - Saa 02:42 GMT Mabaki ya ndege iliyopotea ikiwa na watu 116 njiani kutoka Burkanafaso kwenda Algers yamepatikana nchini Mali. Maafisa wa Jeshi wa Burkina faso wamesema ndege hiyo iliyokuwa chini ya shirika la ndege la Algeria imeanguka karibia kilomita 50 kutoka mpaka wa Burkanafaso. Waongoza ndege walipoteza mawasilino na ndege hiyo muda mfupi baada ya kupata taarifa kutoka kwa Rubani kuwa alikuwa kwenye eneo lenye hali mbaya ya hewa. Utafutaji wa ndege hiyo umeanzia katika eneo la Gao mpaka Tessalit. Kumekuwepo na hali mbaya ya hewa kwa zaidi ya saa 24. Waziri wa mambo ya nje wa ufaransa, Laurent Fabius amesema inaonekana ndege ilihamishwa mwelekeo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. „Walikuwa wameelekez...

Ndege ya Algeria yapotea na watu 116

Image
Ndege ya Algeria yatoweka na watu 116 Ndege ya Air Algerie imetoweka ikiwa na abiria 116 Shirika la ndege la Algeria , Air Algerie, limesema kuwa limepoteza mawasiliano na moja ya ndege zake ilipokuwa ikitoka mji mkuu wa Burkina Faso Ouagadougou. Afisa huyo anasema kuwa ndege hiyoya Air Algerie ilikuwa imepaa dakika 50 katika anga ya Sahara mara ya mwisho mawasiliano yao. Ndege hiyo iliokuwa inaeelekea mji mkuu wa Algiers, ilikuwa na watu mia na kumi na wahudumu sita . Oparesheni ya dharura ya kuitafuta ndege hiyo ieanzishwa, Ndege hiyo nambari AH 5017 inamilikiwa na shirika la ndege la kihispania la Swiftair. Mwandishi wa BBC Alex Duval Smith aliyeko katika mji mkuu wa Mali Bamako anasema kuwa kuna habari kuwa ndege hiyo huenda ilianguka katika eneo la janga la sahara kati ya ...

SABABU ZA UKE KUWA MKAVU.

Image
Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi hv kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika. Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoka (low sex drive) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza kisha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfanya aendelee kuwa "interested" kiakili na kimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel. Mwanamke kutokuvutiwa na ufanya...

MWANAMKE AFIKA KILELENI,..JE UNAUMRI WA MIAKA 18+ KAMA NDIYO ENDELEA KAMA SIVYO USIFUNGUE HABARI HII....

Image
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu. 1. MIDOMO YAKE. Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu). 2. UKE NA KINEMBE. Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezek...

Maajabu India:Kijana ang'olewa meno 232

Image
Maajabu:Kijana ang'olewa meno 232   Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17 aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kinywani . Dr Sunanda Dhiware, mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik aliyeletwa hospitalini hapo akiwa amevimba taya huku akilalamika kwa maumivu makali.  Madaktari wamesema wamelazimika kutumia nyundo na tindo kuyatoa meno hayo na wakadai kwamba hilo ni tukio la ajabu na linaingia katika rekodi ya dunia.Hata hivyo Upasuaji huo umehusisha jopo la madaktari wanne. Dr Dhiware anasema katika uzoefu wake wa miaka 30 ya udaktari wa kinywa na meno hajawahi kukutana na tukio la namna hiyo. Ameongeza pia kuwa kulingana na vitabu vilivyopo vinasema hali kama hiyo inaweza kujitokeza katika tay...

magazeti ya leo ALHAMISI tarehe 24,julai 2014, diamond apata onyo jipya.

Image

Ali Kiba na Diamond bifu Ommy Dimpoz achochea.

Image
www.mambobomba.blogsport.com Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini na Kuandika (Siku Mashabiki wa Ali Kiba na Diamond) akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha… Wacha Movie Iendeleeeee Ommy Amemaanisha kuwa hapo ndio itakavyokuwa siku mashabiki wa Diamond na Ali Kiba watakapokutana 

Aunt Ezekiel katika harakati za kusaka Mtoto,Dubai

Image
Mwigizaji nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte.   Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata ujauzito.   Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe kwa kuogopa kusutwa na ‘matarumbeta’, alisema wengi wanadai mume wa Aunt yuko jela kwa hiyo ili kuwahakikishia kuwa kitu hicho hakipo ameamua aende kuishi Dubai kwa muda hadi atakaponasa ujauzito.   “Kama mipango yake itakwenda vizuri, baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kupita ataondoka na safari hii atakaa sana Dubai hadi Mungu atakapomjalia kupata mimba ndipo atarejea Bongo. Lakini baadaye ataondoka tena kwani hata kujifungua amependa akajifungulie Dubai,” alisema rafiki huyo.   Baada ya kupata nyepesinyepesi hizo, Amani lilimtafuta Aunt na kufanik...

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 23 JULAI 2014.

Image

UBIKRA TENA,Sabuni yanaweza kurejesha ubikira, Lakini je ni salama?

Image
Baadhi ya wanawake na wasichana huko nchini Kenya wanatumia sabuni inayodaiwa kurejesha usichana yaani 'ubikra'. sabuni hizo zinadaiwa kukaza misuli ya sehemu za uke na hivyo kuimarisha raha wakati wa kushiriki tendo la ngono na mwanaume. Baadhi ya wasichana waliohijiwa na BBC mjini Nairobi wamekiri kutumia sababu hiyo na kusema kuwa imeweza kubana misuli ya uke na kurejesha hali ya ubikira. Hata hivyo mtaalam wa magonjwa ya wanawake kutoka nchini Tanzania anasema kutumia sabuni pamoja na kemikali nyingine kwenye uke ni hatari. Mtaalam huyo amewashauri wanawake kuacha kutumia kemikali kwani pia inaweza kuwaletea magonjwa mengine kama vile saratani.

KUFURU YA WAHITIMU WA CHUO KIMOJA CHA HAPA NCHINI TZ BAADA YA MTIHANI.

Image
UCHAFU KABISA HUU HAKUNA SHULE HAPA

PICHA ZA UCHI ZA MREMBO HUYU NI SHIDA SANA MTANDAONI.TAZAMA...DUU!.

Image
Kwakuwa aliona kuwa kuna dalili za mimi na yeye kuachana, kwakuwa tayari mapenzi na yeye nilikuwa sina tena kutoka na yeye kunisaliti kila mara, alifanya kila njia ili baadae aje kunidhalilisha, alinipiga picha na kuisave kwenye computer yake na alivyoona siko nae tena, nakumbuka alinitumia message kwamba utaona.    Sikujua ana maanisha nini mara nilianza kusikia kwa marafiki zangu kwamba eti nimekuwa superstar baadae nikagungua kwamba walikuwa wananing'ong'a . mmoja wa rafiki zangu alinionyesha picha hiyo ya uchi aliyoipost facebook nilikosa la kuongea nikabaki nalia tu.... BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA <<< PICHA YA KWANZA >>> <<< PICHA YA PILI >>>

MATITI YAKIMWAGIWA MAJI YANAKUWA JE?

Image
Party za kenya sasa ni rahaa tupu,  wanawake  wacheza  uchi  matitit nje nje, kiingilio ksh. 5,000 tuu raha tupu, wanawake waonyesha matitti kwenye party , kanga moko  ya  kenya kiingilio Shilling...Elfu 5 tuuu, biashara za kiafrika zina chukua njia nyingine kupata mlooo!!! uchi unalipa ndugu zangu, watoto wanakwenda shule nania atalipa ada ?

KAHABA WA KITANZANIA MWENYE ROHO NGUMU AJIELEZEA ALIVYOKUWA AKISAMBAZA NGOMA BONGO.

Image
MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi alivyotenda dhambi ya kusambaza Ukimwi kwa wanaume wakware. Licha ya kukiri kufanya hivyo, akisema kwa siku alipanga hadi wanaume watano,tena bila ya kutumia kinga akisema alidhamiria kuusambaza ugonjwa huo hatari alioambukizwa akiwa katika shughuli za ukahaba. Alijigundua ameathirika mwaka 2006. Hata hivyo, katika maelezo yake ameelezea kuijutia dhamira yake hiyo, akisema alisambaza kutokana na hasira aliyokuwa nayo dhidi ya mwanamume aliyemwambukiza.   “Nilimchukia sana kila mwanamume, yeyote aliyejiita mwanamume…nilishindwa tu kuwawinda na kuwaua, lakini dhamira yangu ilikuwa kutumia silaha yoyote kuua wanaume kwa sababu mmoja wao aliniua…    “Ndani mwangu nilijisemea kamwe sitawaambia hali ya afya yangu, yeyote anayekuja kwangu nammaliza. Kwa...