P-SQURE, PETER OKOYE, VITA BAARIDI..HAISUSIA HARUSI.." mimi damu yangu ni watoto wangu tu!"
kushoto PAUL, kati KAKA YAO JUDE na kulia PETER KABLA YA KUGOMBANA
www.mambobomba.blogsport.com pamoja sana
Vita baridi inaendelea baada ya mdogo mtu kususia harusi ya kaka yake, pacha mwenzake ilijitaidi sana kuwaweka sawa lakini bado bifu liliendelea .
Hata katika akaunti ya PETER ya tweeta kunaonekana mfululizo wa maneno makavu sana kwa kaka yake ambaye ni mkurugenzi wa kundi lao la P-SQURE ampalo linafanya vizuri sana kwa sasa nchini Nigeria hata Afrika kwa ujumla.
Ikumbukwe kuwa Jude hakuhuzuria kabisa kwenye ndoa za harusi za pacha wao,Peter hakufika katu katika harusi ya kaka yao iliyofungiwa huko kijijini kwao nchini Nigeria.
Baadha ya makavu hayo yaliyotoka kwa PETER ni " p-squre ni PETER na PAUL, nadhani unalijua hilo...mimi damu yangu ni watoto wangu tu!" nikweli p-squre haina herufi J yakumtetea JUDE.
Peter aliendelea watu kusema.."UPUUZI KUWA DAMU NI NZITO KULIKO MAJI, TAFADHALI DAMU IPI NZITO KULIKO YA MTOTO.''
Comments
Post a Comment