Jeshi la Polisi Tanzania latoa tamko juu ya viungo vya binadamu vilivyopatikana July 21

Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni ameongea na Power
Breakfast ya Clouds Fm na kusema>>’Kweli tumekwenda tumevikuta
viungo mbalimbali vya binadamu kama mikono,miguu,vichwa na viungo
vingine’
‘Lakini vipo ndani ya mifuko ya sulphet na iko mifuko kama 80 hivi
lakini tumechukua viungo hivyo na kuvipeleka hospital ya Muhimbili
kwanza kuhifadhi na kwa ajili ya uchunguzi Mpaka sasa hakuna mtu
aliyekamatwa’
Comments
Post a Comment