Irine Uwoya atoboa siri nyingine leo.
nyota wa sinema za kibongo Irine Uwoya atoboa siri nyingine leo baada ya tuhuma zilizo muandama mrembo huyo ambaye alizaa na mchezaji wa mpira wa miguu muda uliopita.
Uwaya anatuhumiwa kufanya fujo kwa mtu ambaye inasemekana ni mke wa mpenzi wake wa zamani, dada huyo ambaye aliolewa baada ya Uwoya kuachwa .
Mwana dada Irine aliamua kuleta timbili kali sana baada ya kusikia kuwa mwanamume ambaye alikuwa anatoka naye zamani kaamua kuchukuwa mrembo mwingine na kumweka ndani, huku akidai kuwa kitendo alichomfanyia si cha huruma japo hakutaka kuoana na mwanamme huyo.

Comments
Post a Comment