UNYAMA MKALI SANA, VIUNGO VYA BINADAMU VYAONEKANA TANZANIA.
Kwa mjibu wa Afisa mmoja wa polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe
amesema viungo hivyo vya binadamu vilivyokutwa ni miguu,vidole ambavyo
vilikutwa vikiwa vimefungwa ndani ya mifuko.
Hata pamoja na viungo hivyo pia vifaa vya upasuaji vimekutwa zikiwemo glovuzi.
Mtu mmoja anashikiliwa kuhusishwa na tukio hilo ambaye ni dereva aliyekuwa akiendesha gari hilo lililobeba viungo hivyo vya binadamu.
Haijafahamika mara moja miili hiyo ya binadamu imetolewa wapi na ilipelekwa eneo hilo kwa lengo gani.
Katika miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa ikikabiliwa na tatizo la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino ambapo viungo vyao huchukuliwa,japo kuwa viungo hivi vilivyokutwa kwa sasa bado havihusishwi moja kwa moja na matukio ya mashambulizi na mauaji ya walemavu hao.
UNYAMA VIDOLE NA MIGUU YA BINADAMU TZ |

Comments
Post a Comment