WASANII WA KIKE WA BONGO MUVI NDANI YA UKAHABA NI NANI ZAIDI KATI YA LULU,WEMA, JACK,ANT NA WENZAKE!JIONEE HAPA !.
www.mambobomba.blogsport.com/bongo muvi
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si
kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na
maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya
hivyo.
Aunt Lulu.
Licha ya kubanwa na sheria pamoja na maadili,
wapo wasanii ambao kwa nyakati tofauti
walijikuta katika adha ya kupigwa kama si
kujipiga picha za utupu kisha zikazagaa
Wapo waliotajwa kupiga picha hizo , waliopigwa na
wapenzi wao kisha
wakazivujisha lakini wengine imedaiwa kuwa
wamezivujisha wenyewe na kusingizia
zimevujishwa na wapenzi wao.
Ifuatayo ni orodha ya wasanii mbalimbali
Bongo ambao waliwahi kukwaa skendo ya picha
za utupu:
Wema Sepetu.
Wema Sepetu:
Mwaka 2010 picha yake ya utupu ilizagaa
mtandaoni huku ikidaiwa kuwa chanzo cha
kusambaa kwake ni boifrendi wake ambaye
alimpiga na kuzisambaza. Kama hiyo haitoshi,
mwaka huu mrembo huyo alidaiwa kuposti
picha zake nyingine za utupu katika mtandao
wa Instagram.
Diana Hussein:
Huyu ni Miss Dar Indian Ocean ambaye pia ni
Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, mrembo
huyo hivi karibuni amejikuta akipata aibu
baada ya picha yake ya utupu kuvuja. Ilidaiwa
kuwa alifanya hivyo kwa azma ya kusaka
umaarufu.
Jack wa Chuz.
Jack wa Chuz:
Ni bonge la ‘actress’ Bongo Movie, mwaka
2012 alipigwa picha za utupu na kusambazwa
kila kona ya Jiji la Dar. Ilidaiwa kuwa kuna mtu
alizichukua picha hizo kutoka kwenye simu
yake na kuzisambaza kwenye vyombo vya
habari.
Agness Masogange.
Agness Masogange:
Nini picha! Yeye ilivuja video yake ya utupu
kabisa. Ilisambaa kama njugu katika mitandao
ya kijamii mwaka jana. Vyanzo makini vilidai
kuwa video hiyo alipigwa na mpenzi wake na
haikujulikana mara moja chanzo
kilichozivujisha.
Jacqueline Wolper.
Jacqueline Wolper:
Pamoja na heshima kubwa aliyonayo kwenye
soko la filamu, mapema mwaka huu staa huyo
amejikuta akichafuka baada ya picha yake ya
utupu kuanikwa gazetini. Ilidaiwa kuwa picha
hiyo alipigwa kwenye bethidei ya msanii
mwenzake.
Marry John.
Marry John:
Msanii wa filamu Bongo, Mary John ‘Maua’
mwaka jana alijipatia jina baada ya kupiga
picha kadhaa za utupu na kuzisambaza kwenye
mitandao ya kijamii yeye mwenyewe.
Aunt Lulu:
Mara kadhaa amekuwa akitengeneza vichwa vya
habari magazetini kwa kupiga picha za utupu.
Mfano hai ni picha ambazo alipiga mwaka jana,
ambapo alidai kuwa alipigwa bichi alipokwenda
‘kula bata’.
Lulu.
Lulu:
Mwaka 2010 alijikuta akichafuka kwa kutajwa
kwenye skendo ya kupiga picha ya utupu.
Alipoulizwa kuhusiana na picha hiyo alikanusha
kuwa si ya kwake na kudai kuwa ilitengenezwa
na watu ili kumchafua.
Jack Patrick
Jack Patrick:
Kwa upande wake suala la kuvuja kwa picha
zake za utupu siyo ishu. Mwaka jana ilidaiwa
kuwa aliziposti picha zake za utupu kwenye
mtandao wa BBM, haileweki ni kwa nini huwa
anafanya hivyo.
Isabela ‘Vai wa Ukweli’:
Huyu ni chipukizi kwenye anga la filamu
Bongo, mara kadhaa amepigwa picha za utupu
na kusambazwa kwenye vyombo vya habari.
Imedaiwa kuwa hufanya hivyo kama kutafuta
mlango wa kutokea kwenye ustaa
Wadau mbalimbali wameweka wazi kuwa wasanii hao hutupia picha hizo
mitandaoni ili kuwanasa wanaume wakware hususan mapedeshee wa mjini
waweze kuwauzia “uchi” ili na wao waeze kuishi maisha ya kifahari.
Maadili ya Mtanzania yanatukataza kufanya
vitendo vya namna hii hivyo ni vyema wahusika
wakawa makini, waepuke kupiga wala kuhusika
kusambaza picha zao za utupu kwa namna
yoyote ile.
Comments
Post a Comment