Raisi Kikwete Safi sana kwa kuonesha Tabia ya Kiislam Ikulu jijini Dar-es-laam

raisi JK akiwa katika hali ya dini tayari kabisa kutowa hotuba fupi mbele ya viongozi wa dini ya Kiislam ikulu jijini Dar-es-laam.
pichani raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akibadilisha maneno ya kiislam na mashehe wa Tanzania wakati wa futari ikulu.Huku akimuelezea raisi kwa tabia yake ya ukarimu.

kushoto ni shehe mkuu wa mkoa wa Dar-es-laam Sheik Abbudala Yusufu bin Ali akitoa neno la shukurani wakati wa kidogo hicho.
raisi akiwa katika wakati muhimu wa kile kisemwacho karibu twala kama jasho la mtu laliwa

baadhi ya mashehe wakiwa katika hali ya baada ya kupata chochote mahali hapo

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.