NDEGE YA MALASIA YAZUA SIMNZI NZITO KWA MALASIA TENA!
Ndugu wa marehemu waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya ndege jana nchini Malasia wakiomboleza kwa simanzi kubwa katika maafali ya mwisho ya kila kilicho kuwa na mwili na roho.
Simanzi hili kubwa likisababishwa na maafa makubwa yaliyotokea tena miezi michache baada ya ndege nyingine ya nchi hiyo kupotea hata sasa.
Bendera za Uholanzi zikiwa zinaendelea kuzunguka nusu mlingoti baada ya maafa hayo makali yaliyosababishwa na kulipuka kwa ndege yenye namba MH17 , hii nikutokana na kuwepo marafiki ,ndugu jamaa na wapenzi wengi katika janga hilo.
Ndege hii ililipuliwa kati ya mpaka wa Urusi na Ukraini , tatizo la usafiri katika nchii hii limeonekana kuwa
kubwa siku kwa siku.
Baadhi ya wafanyakazi wa airport walionekana kuwa na majonzi
sana huku wakisema kilichowezekana kwa wapendwa wao kutandaza maua chini tu na
kuwaombea rehema basi.
Comments
Post a Comment