JACKLINE WOLPER NAMZIMIKIA SANA!... MR.TANZANIA.
JACKLINE WOLPER |
Modo
wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi
kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba
katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper
'Gambe'...
"Umenifanya
nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii.Nakupenda sana
Wolper Gambe wangu coz i get everything from you.I love you
kamdoli kangu, kichuna changu," hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia Wolper.
Calisah amedhihirisha ya moyoni mwake kwa kuonesha dhahiri upendo alio nao juu ya muigizaji Wolper.
Add caption |
Comments
Post a Comment