P-SQUARE ,PETER KUTOHUZURIA KWENYE HARUSI YA P-SQUARE JUDE OKOYE SABABU HII HAPA!


Jude and Peter Okoye

Katika akaunti ya PETER ya tweeta kunaonekana mfululizo wa maneno makavu sana kwa kaka yake ambaye ni mkurugenzi wa kundi lao la P-SQURE ampalo linafanya vizuri sana kwa sasa nchini Nigeria hata Afrika kwa ujumla.


Ikumbukwe kuwa Jude HUKUHUZURIA kwenye ndoa ya harusi ya Peter,NA HIYO NDIYO SABABU YA Peter KUSUSIA HARUSI YA Jude.

Baadha ya makavu hayo yaliyotoka kwa PETER ni " p-squre ni PETER na PAUL, nadhani unalijua hilo...mimi damu yangu ni watoto wangu tu!" nikweli p-squre haina herufi J yakumtetea JUDE.

Peter aliendelea watu kusema.."UPUUZI KUWA  DAMU NI NZITO KULIKO MAJI, TAFADHALI DAMU IPI NZITO KULIKO YA MTOTO.''

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.