FIESTA SINGIDA, LINA NDANI YA HOT PAN KAMA YA MKE WA OBAMA.DUH.

Linnah akilishambulia jukwaa.…

Linnah akilishambulia jukwaa.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Singida.
Staa wa Bongo Fleva, Dully Sykes akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta.
mambobomba inawatakia DODOMA fiesta njema kesho.
Comments
Post a Comment