MSUMBIJI YAFANYA UCHAGUZI WAKE LEO
Watu kama milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo tarehe 15, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975.
Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kuanza saa tatu kwa saa za Afrika mashari.
Comments
Post a Comment