PICHA ZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MSANII WA BONGOFLEVA YP.
Msanii wa muziki kutoka kundi la Wanaume Family, YP aliyefariki jana
ameagwa jioni hii katika viwanja vya TTC Chango’ombe jijini Dar es
Salaam kabla ya kwenda kuzikwa katika makaburi ya Chang’ombe. Wasanii,
wadau wa muziki na wananchi wengine walijitokeza kutoa heshima zao za
mwisho.
Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu baada kuuaga mwili wake
YP alifariki usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa katika hospitali
ya wilaya ya Temeke kutokana na kusumbuliwa na kifua. Tazama picha.
Fela na Babu Tale kwa nyuma
Juma Nature akiwa na ndugu wa marehemu
HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA WAKATI WA KUMUAGA MSANII YP JIJINI DAR KATIKA VIWANJA VYA TTC . |
Comments
Post a Comment