MSANII MARUFU AMBENE YESAYA NA MSANII WA MAREKANI SEAN KINGSTONE WAANDAA VIDEO MBILI KALI HIVI KARIBUNI.



.
.
Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.

Good News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha  Ms Triniti & Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston

Kupitia ukurasa wake instagram hitmaker huyo wa single ‘Adela’ ameshare picha akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandika
Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston#TANZANIA #Jamaica

.
.#Repost from @producerriley with @repostapp — Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti
.
.
.
.
.
.
.
Mhariri wa mambobomba anamuelezea AY kama ni bigwa wa fursa.

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.