JE, NI KWELI RICK ROSS ALIKUWA ASKARI MAGEREZA?

MFAHAMU RICK ROSS ALIKUWA NANI.









Rick Ross ni mwanamziki wa hiphop.



Rick Ross ni mkiristo.Rick Ross anasema ...ninasali kila mara nifikapo jukwaani.



Rick Ross ambaye jina lake kamili anaitwa, William Leonard Roberts II alizaliwa January 28, 1976 huko Marekani jimbo la florida.



Rick Ross alisoma katika shule moja iitwayo Miami Carol high school.



Rick Ross alifanya kazi ya magerezaKWA MUDA WA MIEZI 18 TANGU MAKA 1995  baada ya kumaliza shule kabla ya kugundua kipaji chake kama RAPPA.






Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.