KESI KUBWA YA MAUAJI INAYOMKABILI OSCAR PISTORIUS, HUKUMU YAENDELEA KUTOLEWA siku ya tatu leo.
Mwanasoka maarufu kwa Mzee Madiba Oscar Pistorous, 27 anayekabiliwa na mashitaka ya kumua aliyekuwa mpenzi wake GIRLFRIEND wakati wa siku ya valentini kwa risasi nchini Afrika kusini imetolewa hukumu.
Kwa walemliokuwa mnafuatilia kesi hii Oscar alionekana kizimbani akilia sana kwa uchungu mkubwa sana na aliyepoteza mwelekeo kabisa.
Mara zote mawakili pamoja na majaji pia walilia sana wakati osca akijitetea kizimbani hata mara kadhaa hakimu alihairisha kesi.
Hii ni moja ya kesi iliyoleta isia kali sana kupata kutokea.Oscar alitaka kuilipa familia ya mpenzi wake kitita cha pesa ila mama wa mpenzi wake alikataa kulipwa damu kwa pesa.
Mawakili wa Ocar wamesisitiza kuoji kuwa iwapo itadhibitika kuwa mteja wao hukuonekana na hatia ya kuua kwa makusudi basi, familia ya mpenzi wake itamlipa fidia mteja wao.
vipande vyo hoja leo mahakamani hapo;
osca,
....nanni kasema jela kuna
Endelea kufuatilia wakati ujao.
Comments
Post a Comment