ORODHA YA MAKOCHA BORA ULAYA WENGER ALAMBA KISINO.
riday, 10 October 2014
WENGER ATUPWA NAFASI YA 19 MAKOCHA BORA 20 ULAYA
Arsene Wenger |
KIGEZO
muhimu cha “rasilimali za kila timu” kilichotumiwa na ESPC FC katika kubainisha
viwango vya ubora wa mameneja barani Ulaya, kimempa Arsene Wenger, meneja aneyeaminiwa
na wapenzi na klabu ya Arsenal ya Uingereza huku wengine wakimbatiza kwa jina
la Profesa wa Ukocha, nafasi ya 19 kati ya mameneja bora 20 barani Ulaya.
Katika
orodha hiyo iliyochapwa hii leo katika mtandao wa ESPN, wenga anafuatiwa na
Rafa Banitez wa Napoli aliyeshika nafasi ya 20 kwa ubora.
Jose
Mourinho, meneja mtata wa klabu ya Chelsea ameshika nafasi ya pili kwa ubora
barani Ulaya akiwa chini ya Pep Guardiola wa Bayern Munich aneyeoongoza kwa
ubora barani Ulaya.
Wengine
katika orodha hiyo yupo
3.
Diego Simeoone wa Atletico Madrid
4.
Jurgen Klopp wa Borusia Dortmund
5.
Louis Van Gaal wa Man U
6.
Manuel Pellegrin wa Man City
7.
Brendan Rodgers wa Liverpool
8.
Antonio Conte wa Juventus
9.
Rudi Garcia wa Roma
10.
Roberto Martinez wa Everton
11.
Carlo Ancelloti wa Real Madrid
12.
Unai Emery wa Valencia
13.
Joachim Low wa Germany
14.
Marcelo Bielsa wa Marseille
15.
Frank de Boer wa Ajax
16.
Vicent del Bosque wa Hispania
17.
Casare Prandelli wa Italia
18.
Maucio Pochettino wa Tottenham
19.
Arsene Wenger wa Arsenal
20.
Rafa Banitez wa Napoli
Comments
Post a Comment