OSCAR PISTORIOUS NDANI YA SIKU YA TATU YA HUKUMU.
ushaidi kuitajika leo Mahakamani.
Hii ni moja ya kesi kubwa ya mauaji ya kutumia risasi ambapo OSCAR PISTORIOUS 27 anakabiliwa na kesi ya mauaji baada ya kumrushia risasi aliyekuwa mpenzi wake REEVAS.
Kesi yake bado inaendelea ambapo ushaidi zaidi umeitajika mahakamani hapo nchini
Comments
Post a Comment