KIFUNGUA KINYWA KILICHO BORA


Madaktari wanashauri kuwa Kifungua kinywa bora chenye afya ambacho pia ni dawa;
1.Kwanza amka mapema  kunywa maji lita moja kabla ya kitu chochote.
2.Fanya mazoezi ya viungo kwa dakika 30.
3.Tatu pumzika dakika 10 baada ya zoezi huku ukiwaza mawazo endelevu au ukiangalia vipindi vya kuelimisha.
4.Oga kwa maji safi.
5.Sasa kaa mezani anza na matunda kabla ya kula kitu chochote.
MATUNDA.
NYANYA,NDIZI,MATANGO,KAROTI,CHUNGWA,NANASI,TIKITI AMA MBOGA ZA MAJANI NI NZURI SANA.



6.USISAHAU vipengele hivi hapo juu 1-6 kila siku.






Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.