STEDI SHOO WA DIAMOND WAPELEKWA POLISI KISA SARE YA JESHI
Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo na wapo Kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Wakati huohuo polisi wanaendelea kumtafuta bosi wao, Nasibu Abudul ‘ Diamond Platinumz’ kwa mahojiano naye kwa kuvaa sare za Jeshi hilo katika Tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita.
Meneja wa Diamond, Babu Tale, hakupatikana kuzungumzia suala hili, juhudi za kumtafuta zinaendelea.

T
Comments
Post a Comment