ANT EZEKEL NA KAULI YAKE WEMA AFUNDISHWI.

osted by GLOBAL on August 22, 2014 at 12:30pmComments 
Staa wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.
Staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' wakifanya yao na Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel ameeleza kuwa anachofahamu…
Staa wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.
Staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' wakifanya yao na Aunt Ezekiel.
Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiel ameeleza kuwa anachofahamu Diamond aliongea kwa niaba ya watu walio karibu nae na hakumtaja yeye kwa jina. Lakini hata kama angemtaja yeye hadhani kama Wema ni mtu wa kufundishwa.
“Wema ni mtu mzima anaishi mwenyewe na ana maisha yake sidhani kama ni mtu wa kufundishwa. Wema ni mtu ambaye ana maamuzi yake, watu hawajui kuna wakati wa kazi na kuna wakati wa kuspend maisha. Kwahiyo mimi na muda wangu wa kazi na nina muda wangu wakuspend.” Amesema.
Aunt Ezekiel hajali kinachosemwa na watu kuhusu ukaribu wake na Wema na kinachoendelea katika kazi zake.

“Sihitaji kuangalia mtu anafuatilia maisha yangu kwamba eti nakuwaga na Wema. Hawanisaidii chochote. Nachotakiwa kuangalia nafanya kazi zangu na maisha yangu yanaenda mbele na sitaangalia watu wanasema nini.
Mimi nina kazi zangu. Sijui kama Wema kama anahitajika kubadilika kwa sababu Diamond ndiyo anajua mapungufu ya Wema na Wema anajua ya Diamond.”

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.