MASTAA WA BONGO WALIVYOKUWA MARAFIKI KABLA YA KUWA STAA.

Nando na Godzillah.
NANDO NA GODZILAH hawa wawili walimaliza kidato cha sita darasa moja, wakichukua ‘combination’ moja ya HKL na wakicheza pamoja kabumbu la shule. Darasani, madawati yao yalikuwa kwenye kona mbili za darasa.
Lord eyes na G-nako.
Kuimba, mpira na maisha ya kwenye televisheni yamekuja tu kutokana na juhudi binafsi. Mpaka leo hawa ni washkaji wa nguvu, wafuate kwenye mitandao ya kijamii ujionee. Godzila…
Nando na Godzillah.
NANDO NA GODZILAH hawa wawili walimaliza kidato cha sita darasa moja, wakichukua ‘combination’ moja ya HKL na wakicheza pamoja kabumbu la shule. Darasani, madawati yao yalikuwa kwenye kona mbili za darasa.
Lord eyes na G-nako.
Kuimba, mpira na maisha ya kwenye televisheni yamekuja tu kutokana na juhudi binafsi. Mpaka leo hawa ni washkaji wa nguvu, wafuate kwenye mitandao ya kijamii ujionee. Godzila anapatikana katika FACEBOOK King Zillah na twitter @King_Zillah....Arme Nando @Ammy Nando kwenye facebook na @Nandouraccount twitter.
MPOKI NA JOTI, hawa nao hawaachani. Tokea enzi zile za mchezo wa Fukuto ulioonyeshwa kwenye runinga kipindi cha  maigizo yalipoanza kushamiri. Hawa ni haki yao kuwa matajiri wa leo, kwani urafiki wao na kazi zao zimekubaliwa na kuzidi kukubalika kutokana na uhusiano mzuri wa kirafiki uliopo baina yao. Wafuatilie kwenye kurasa zao za kijamii FACEBOOK, TWITTER @
Mpoki na Joti.
MZEE ONYANGO NA MZEE MWITA, hawa wakongwe wa sanaa ya maigizo, ‘story’ tulizokuwa nazo ni kuwa waliishi pamoja  maeneo ya Kawe jijini Dar, kabla umaarufu haujawakuta.
JAFFARHYMES na JAY MOH, hata ‘collabo’ zao zinaonyesha  urafiki baina yao ambapo ‘walishaskuli’ pamoja na wote walishachangia katika ukuaji wa sanaa hapa nchini, ingawa sasa wamepotea kwa sababu ya binafsi.
LORD EYES NA G-NAKO, miamba kutoka Kaskazini waliowahi kupoteana na kukutana, hatimaye kuzalishwa kwa kundi la Hip Hop ambalo hadi sasa bado linatamba.

NGWEA, NOORAH, DARK MASTER na MEZ B walisoma wote Dodoma na kuunda kundi moja toka pande hizo lililokimbiza sana mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja.
Rich one, Chidi Benz,Solo Thang na Mh. Temba.
MH. TEMBA kutoka ‘kiumeni’ amesoma shule na Solo Thang, Rich one, Chidi Benz, Soggy Doggy, marehemu Kanumba na Dazz Baba katika shule ya Sekondari ya Jitegemee iliyoko Temeke, Dar es Salaam.
Baadhi ya wachezaji waliowahi kusoma wote Shule ya Sekondari Makongo ni pamoja na Juma Kaseja, Mussa Mgosi, Nico Nyagawa, Jerry Tegete, Haruna Moshi, Yahaya Akilimali, Kandole Justine, Aaron Nyanda, Ali Mayai, Muhaji Kampala, Mohamed Banka, Adam Matunga, Jemedary Said, Majuto Komu, Aman Simba, Ngawina Ngawina.

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.