AY NA GODFATHER NI SHIDAH.



Mwanamuziki Ambwene Yesaya 'AY'.
MKALI wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ambwene Yesaya 'AY' anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji video, Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini.
AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala wake hapa Afrika Mashariki.
Alisema… “Huwezi kufanya video na Godfather ni lazima utapita kwangu na utalipa gharama zote kwangu kwani tumeingia dili pamoja.”
Godfather ametengeneza ngoma kibao kwa wasanii wa Afrika zikiwemo Kitolondo ya Diamond Platnumz, Ole Themba ya Linah, Kerewa ya Shetta na Diamond!

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.