BILIONEA William Henry "Bill" Gates Akijimwagia ndoo ya maji katika kupambana na ALS...ona
BILIONEA
William Henry "Bill" Gates naye ameungana na mastaa mbalimbali katika
kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis (ALS), maarufu
kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’.
BILIONEA William Henry "Bill" Gates naye ameungana na mastaa
mbalimbali katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis
(ALS), maarufu kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket
Challenge’.
Ugonjwa wa ALS hushambulia seli za mishipa ya fahamu na kupelekea mgonjwa kupata matatizo katika kuongea, kumeza, kupumua na baadaye kupooza. Mpaka sasa watu takribani 30,000 nchini Marekani wana ugonjwa huo.
Kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’ hufanyika kwa watu kutengeneza video zao wakijimwagia ndoo ya maji baridi kichwani kisha kuzituma katika mitandao ya kijamii na kuwataka wenzao kufanya hivyo pia ndani ya masaa 24 au kuchangia dola za Kimalekani 100 kwa Chama cha ALS ambapo mara nyingi watu hufanya vyote (kujimwagia maji na kuchangia fedha)......
.https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=XS6ysDFTbLU
Justin
Bieber akijimwagia ndoo ya maji baridi kwa mara ya pili jana huku
akiwataka Barack Obama, Ellen, Chris D'Elia kufanya hivyo.
Bill Gates amefanya hivyo baada ya kutumiwa kampeni hiyo na mmiliki
wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg huku naye akiwataka Elon Musk,
Ryan Seacrest na Chris Anderson kufanya hivyo.…
Justin
Bieber akijimwagia ndoo ya maji baridi kwa mara ya pili jana huku
akiwataka Barack Obama, Ellen, Chris D'Elia kufanya hivyo.
Bill Gates amefanya hivyo baada ya kutumiwa kampeni hiyo na mmiliki
wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg huku naye akiwataka Elon Musk,
Ryan Seacrest na Chris Anderson kufanya hivyo.
Mmiliki wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg akijimwagia ndoo ya maji baridi na kumtaka Bill Gates kufanya hivyo.
Video iliyowekwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook na kijana Pete
Frates wiki mbili na nusu zilizopita imewavutia watu wengi wakiwemo
Justin Bieber, LeBron James, Chris Christie and Taylor Swift ambao
wamechukua ndoo ya maji baridi kuungana katika kampeni hiyo.Ugonjwa wa ALS hushambulia seli za mishipa ya fahamu na kupelekea mgonjwa kupata matatizo katika kuongea, kumeza, kupumua na baadaye kupooza. Mpaka sasa watu takribani 30,000 nchini Marekani wana ugonjwa huo.
Kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’ hufanyika kwa watu kutengeneza video zao wakijimwagia ndoo ya maji baridi kichwani kisha kuzituma katika mitandao ya kijamii na kuwataka wenzao kufanya hivyo pia ndani ya masaa 24 au kuchangia dola za Kimalekani 100 kwa Chama cha ALS ambapo mara nyingi watu hufanya vyote (kujimwagia maji na kuchangia fedha)......
.https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=XS6ysDFTbLU
Comments
Post a Comment