MKUTANO BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUFANYIKA DAR AGOSTI 27




MKUTANO
wa kwanza wa kikao cha tatu cha Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika
Mashariki (EALA) unaoanza Agosti 27 hadi Septemba 5 mwaka huu utafanyika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa
waraka ambao ulisomwa na spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, hii ni
mara ya kwanza kwa Bunge la Tatu kufanya mkutano wake Dar es Salaam,
ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa kupeana zamu kwenye nchi zote wanachama
ili kuliweka bunge karibu na wananchi.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
Comment
You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers