FIESTA KAHAMA USIKU WA JANA KUAMKIA LEO ILIKUWA HIVI LINAH MBELE.....


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.…
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheeda.
Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akiimba wimbo wake.
Staa wa Bongo Fleva, Mr. Blue.
Staa wa Bongo Fleva, Linna Sanga akishambulia jukwaa.
BK Sande akishambulia jukwaa.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akiwa kazini.
Msanii wa Super Nyota 2013 akishambulia jukwaa.
Watangazaji wa Clouds FM, DJ Fetty akiwa na DJ Muli B.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, KAHAMA)

Comments

Popular posts from this blog

STYLE KALI:TUMIA HII NDANI YA DAKIKA MOJA TU MWANAMKE AMEKOJOA.

KISIMI (kinembe) kikichezewa mwanamke anaweza kuwataja maawara zake wote.