LULU BADO ANAMSAKA JUSTIN B KWA NGUVU ZAIDI.
                                
Muigizaji  wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' anaendelea kuonesha 
hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia 
ujumbe kila Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.
 
“Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa…
 
Muigizaji  wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' anaendelea kuonesha 
hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia 
ujumbe kila Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.
 
“Mapemaaaa...Kabla 
cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara
 cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie 
comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala 
ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote 
anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo 
kazi yangu....!!!
Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo”
 
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.
Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo”

Comments
Post a Comment