MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22
FAINALI TAREHE 22
Vimwana
 wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya 
maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika 
kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. 
Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo.
Warembo hao wakitembea kwa mwendo wa madaha.
 Wakiwa wamepozi wenyewe.
Wakiwa wamepozi wenyewe.


 
 
 
Comments
Post a Comment